Nafasi za Kazi: Skyline Freight na Hubb Connect




๐Ÿš›

โšก Skyline Freight ยท Kukusanya Madereva

๐Ÿ“ข tunaajiri sasa ยท miji mbalimbali

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ Kiswahili

Wakala wa Uwandani โ€“ Kukusanya Madereva

๐Ÿ“ Maeneo: Dar es Salaam, Dodoma, Arusha na Mwanza

Kuhusu Skyline Freight

Skyline Freight inaunda mtandao wa kuaminika zaidi wa usafirishaji mizigo midogo Tanzania. Tunawaunganisha boda boda na malori madogo na usafirishaji wa kila siku, kuwasaidia madereva kupata kipato na wafanyabiashara kutegemeka.

Muhtasari wa nafasi

Tunatafuta Wakala wa Uwandani wenye nguvu kusajili na kuwawezesha madereva wa bodaboda kwenye maeneo maalum kotekote. Utafanya kazi na mawakala wa eneo, kuendesha vikao vya usajili, kusaidia madereva kusakinisha programu na kuhakikisha wanakamilisha safari za kwanza.

Majukumu

  • Tembelea stages za boda na masoko kila siku (6โ€“10 asubuhi / 4โ€“8 jioni).
  • Wasajili madereva (vitambulisho, namba za bodaboda, namba ya simu) kwa kutumia app au fomu.
  • Toa maelekezo mafupi na thibitisha safari ya kwanza.
  • Ripoti maendeleo ya kila siku kwenye dashibodi.
  • Wahimize madereva kuleta wenzao; shirikiana na mawakala wa eneo.
  • Dumisha ubora wa taarifa na epuka udanganyifu.

๐Ÿ’ฐ Malipo (mshahara + kamisheni)

  • Mshahara msingi unaovutia + bonasi za utendaji
  • Kamisheni kwa kila dereva anayefanya kazi (inategemea utendaji, hulipwa baada ya uthibitisho)
  • Bonasi ya timu kufikia lengo la mwezi
  • Mafunzo ya kulipwa
  • Nafasi ya kupanda cheo hadi Msimamizi (mshahara zaidi)

Mahitaji

  • Umri 18+; simu janja inayotumika na chaja
  • Uwezo mzuri wa mawasiliano (Kiswahili/English)
  • Tayari kufanya kazi asubuhi na mapema jioni
  • Mwaminifu na anayeweza kufanya kazi kwa malengo

๐Ÿ“ฌ Jinsi ya kuomba

Tuma CV + jina kamili + mji unaopendelea kupitia:


Hubb Connect Logo

Nafasi za Kazi ya Freelancer

Hubb Connect inatoa nafasi za kipekee kwa watu wanaotaka kupata kipato kupitia mauzo na uhamasishaji wa huduma zetu. Ukiwa Freelancer, utapata uhuru wa kufanya kazi kwa muda unaotaka na kulipwa kwa kila mteja unaeleta.


Je, Unataka Kuwa Freelancer wa Hubb Connect?

Freelancer wa Hubb Connect anapata kipato cha kubadilika kwa kuleta watumiaji wapya โ€” unasaidia watu kusajili na kujiandikisha kwenye app/wavuti, unakuza huduma, na unalipwa kwa kila mteja anayefanya usajili na malipo mafanikio. Hii ni nafasi inayofaa kufanya sambamba na kazi nyingine au kama kipato cha muda mrefu.

Majukumu ya Freelancer

  • Kutafuta na kuwasilisha wapangaji, wamiliki wa nyumba na wauzaji wa huduma/bidhaa ili wajiandikishe kwenye Hubb Connect.
  • Kusaidia mteja kufanya registration na kumhakikishia abonement/uliolipwa (ili upate kamisheni).
  • Kutumia referral links / tracking tools zilizotolewa na Hubb Connect.
  • Kushiriki kwenye mafunzo na mikakati ya mauzo.

Mfumo wa Malipo (Kamisheni – 30%)

Kamisheni ni asilimia 30% ya malipo kamili ya mteja aliyefanikiwa kusajili na kulipa.

  • Tenant โ€” 20,000 TZS kwa 30 siku โ†’ 6,000 TZS
  • Landlord โ€” 3,000 TZS kwa 14 siku โ†’ 900 TZS
  • Service Provider โ€” Service โ€” 20,000 TZS kwa 30 siku โ†’ 6,000 TZS
  • Service Provider โ€” Product โ€” 3,000 TZS kwa 30 siku โ†’ 900 TZS



Kujua zaidi kuhusu Hubb Connect

Mfano wa Freelancer Dashboard

Freelancer Dashboard

Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara

Je, ni lini ninalipwa?
Malipo ya kamisheni hufanyika tarehe 26โ€“27 kila mwezi.
Je, ni vipi nitatambuliwa kama mwenye haki ya kamisheni?
Kamisheni inatolewa kwa referrals zinazothibitishwa kupitia mfumo wa tracking.
Nitapata msaada wa mafunzo?
Ndiyo โ€” kuna mafunzo, templates na vikundi vya WhatsApp kwa msaada wa kila siku.
Ninawezaje kupandishwa cheo?
Kulingana na idadi ya wateja na uwezo wa kuongoza timu.

Jinsi ya Kuomba

Piga simu au tuma ujumbe wa WhatsApp kwa namba:
0684 327 789

Au tuma barua pepe kwa:
[email protected]